Wachezaji wa Timu ya Simba wakishangilia ushindi wao walioupata dhidi ya Timu ya Mtibwa Suger, katika Mchezo wa Ligi kuu Tanzania Bara, uliopigwa jioni ya leo kwenye
Uwanja wa Uhuru jijini Dar es salaam. Simba imeshinda Bao 2-0.
Kipa
wa Timu ya Mtibwa Suger, akiokota mpira wavuni baada ya kufungwa na
Mshambuliaji wa Simba, Laudit Mavugo (anaeonekana nyuma ya nyavu
akishangilia), katika Mchezo wa Ligi kuu Tanzania Bara, uliopigwa jioni ya leo kwenye
Uwanja wa Uhuru jijini Dar es salaam. Simba imeshinda Bao 2-0.
Mchezaji wa Simba, Laudit Mavugo akionyesha uwezo wake mbele ya Beki wa Mtibwa Suger, Salim Abdallah, katika Mchezo wa Ligi kuu Tanzania Bara, uliopigwa jioni ya leo kwenye
Uwanja wa Uhuru jijini Dar es salaam. Simba imeshinda Bao 2-0.
Nahodha
wa Timu ya Simba, Jonas Mkude akichuana kuwania mpira na Mchezaji
Kelvin Idd, katika Mchezo wa Ligi kuu Tanzania Bara, uliopigwa jioni ya
leo kwenye
Uwanja wa Uhuru jijini Dar es salaam. Simba imeshinda Bao 2-0.
Mshambuliaji
wa Mtibwa Suger, Ibrahim Juma, akijaribu kutaka kumtoka Kiungo wa
Simba, Mzamiru Yassin, katika Mchezo wa Ligi kuu Tanzania Bara,
uliopigwa jioni ya leo kwenye
Uwanja wa Uhuru jijini Dar es salaam. Simba imeshinda Bao 2-0.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...