SIMU.TV: Waziri mkuu Kassim Majaliwa ameitaka wizara ya elimu sayansi na teknolojia kuweka mikakati ya kuandaa wataalamu wengi wa afya nchini.https://youtu.be/5XzLPPizPlg
SIMU.TV: Umoja wa vilabu vya waandishi wa habari nchini umeiomba serikali kupitia upya sheria ya vyombo vya habari ili kulinda usalama wa wandishi wa habari wawapo kazini.https://youtu.be/tFYypOT4edM
SIMU.TV: Jamii imekumbushwa umuhimu wa kushirikiana na serikali katika kuleta maendeleo ili kuongeza kasi ya maendeleo nchini. https://youtu.be/S8_b4sd4iqE
SIMU.TV: Mkuu wa wilaya ya Kakonko mkoani Kigoma amewataka vijana waliohitimu mafunzo ya JKT kuwa mfano wa uadilifu na uzalendo kwa jamii.https://youtu.be/m8I2Ra2rrrk
SIMU.TV: Shirika la nyumba la taifa NHC limesema litaendelea kuwanyang’anya mashine za matofali walizokadhiwa vijana ili kujiinua kiuchumi lakini wakashindwa kuzifanyia kazi.https://youtu.be/koWDO4YvgCw
SIMU.TV: Jumla ya washindi kumi wa shindano la kamata mpunga linaloendesha na kampuni ya Vodacom Tanzania wamekabidhiwa zawadi zao. https://youtu.be/Vd3X4yAcX-U
SIMU.TV: Shirika la viwango Tanzania TBS limewahimiza wahandisi wa kada mbalimbali kuzingatia viwango katika miradi wanayoisimamia. https://youtu.be/x6QLU5DAASE
SIMU.TV: Vijana wametakiwa kutumia fursa mbalimbali kubuni miradi ya maendeleo ili kuweza kujikwamua kiuchumi. https://youtu.be/mzNQ1Hpad2U
SIMU.TV: Timu ya taifa ya Tanzania Taifa stars inatarajia kuingia uwanjani kesho kucheza na timu ya taifa ya Nigeria huko nchini Nigeria. https://youtu.be/np37nXPAH6U
SIMU.TV: Timu ya Simba ipo mkoani Dodoma kwa ajili ya kuchecha mchezo wake wa kirafiki na timu ya Polisi Dodoma ili kuamsha ari ya kimchezo katika mkoa huo.https://youtu.be/7UfbiskGDO8
SIMU.TV: Mkurugenzi wa kituo cha kukuzia vipaji vya wasanii cha Mkubwa na Wanawe leo ameonesha nyumba alizowaandalia wasanii wa kundi la ya moto band.https://youtu.be/5vsjntkqW2g
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...