THIS BLOG IS PROUDLY SPONSORED BY VODACOM, TANZANIA'S LEADING CELLULAR NETWORK. | CRDB BANK - THE BANK THAT LISTENS | NATIONAL BANK OF COMMERCE (NBC)- CONVENIENTLY EVERYWHERE | NATIONAL SOCIAL SECURITY FUND (NSSF) | PUBLIC SERVISE PENSIONS FUND (PSPF). ' Karibu katika hii Globu ya jamii. Una karibishwa kutoa maoni yako yoyote yatakayo jenga taifa letu. Nawasihi kila mmoja wetu ajiheshimu kwa kutumia lugha zisizochafua hali ya hewa. Yaliyomo humu hayahusiani kwa vyovyote vile na hariri za magazeti ya Daily News, HabariLeo na Sunday News. Maoni yanayotolewa na wasomaji si ya GLOBU YA JAMII, ni ya mtoa maoni isipokuwa pale itavyoelezwa vinginevyo. Akhsanteni sana na tuendeleze Libeneke.

Gadget

This content isn't available over encrypted connections yet.

SIMU TV: HABARI KUTOKA TELEVISHENI

SIMU.TV: Madereva wanne kutoka Tanzania waliokuwa wanashikiliwa na waasi wa Maimai kutoka DRC wameokolewa leo na jeshi la DRC. https://youtu.be/UUOkuaF1skY

SIMU.TV: Kamati ya maudhui ya TCRA imekifungulia kituo cha Magic fm baada ya kuridhishwa na utetezi wake dhidi ya tuhuma za kurusha maudhui ya uchochezi.https://youtu.be/J8crWWTzj9s

SIMU.TV: Makamu wa rais Samia Suluhu Hassan awataka wakuu wa majeshi ya polisi nchi za kusini mwa Afrika SADC kutorudi nyuma katika kulinda mipaka ya nchi ili kupunguza uhalifu. https://youtu.be/OZFns3_jLho

SIMU.TV: Kamati ya ulinzi na usalama wilaya ya Tarime imeharibu zaidi ya ekari 30 ya zao haramu la bangi pamoja na kukamata kilo 50 za mbegu za bangi.https://youtu.be/pMFwbEXMt1g

SIMU.TV: Watanzania watakiwa kutembelea hospitali mbalimbali pale wanapopotelewa na ndugu zao badala ya kwenda vituo vya polisi tu. https://youtu.be/RHHqtr-3TDU

SIMU.TV: Serikali wilayani Rufiji yawataka wafugaji kuondoka maeneo ambayo hayajatengwa kwa ajili ya mifugo ili kuondoa migogoro kati yao na wakulima.https://youtu.be/ca4e5rtNjO8

SIMU.TV: Serikali imetoa ratiba ya watumishi wake kuhamia makao makuu ya nchi Dodoma ambapo rais Magufuli atahamia mwezi juni 2020. https://youtu.be/2Cugaqsz76s

SIMU.TV: Serikali yatenga shilingi milioni 250 ili kuanza ujenzi wa bandari ya uvuvi katika manispaa ya Mtwara Mikindani. https://youtu.be/B6b2-CagYnU
SIMU.TV: Baadhi ya wafanyabiashara katika mji wa Mbinga wasema teknolojia ya huduma za kifedha katika simu za mikononi imewarahisishia kazi zao.https://youtu.be/B1QNwae5RCk

SIMU.TV: Azam fc wanaendelea kutamba kuwa wako vizuri kuwakabili Simba hapo kesho kwenye mchezo wao wa ligi kuu Tanzania bara. https://youtu.be/4CBw_SUybsY

SIMU.TV: Kocha mkuu wa Mwadui Fc amesema atahakikisha ataifunga Yanga kesho katika mchezo wake wa ligi kuu Tanzania bara. https://youtu.be/IKg1fkgr4nE

SIMU.TV: Jeshi la polisi kanda maalumu ya Dar es Salaam lawaonya mashabiki wa soka watakaosababisha vurugu katika mchezo wa Azam fc na Simba.https://youtu.be/lTZiEwn_Oh4

SIMU.TV: Manchester United imeanza vibaya michuano ya ligi ndogo ya Ulaya baada ya kukubali kichapo cha bao moja kwa bila . https://youtu.be/QeG1MQ2LSW8