USIKOSE
KUUNGANA NA MR SIXMUND BEGASHE TAREHE 10 SEPTEMBA 2016 ASUBUHI
KATIKA KUMEPAMBAZUKA YA ITV ILI AKUJUZE VYEMA JUU YA MUSEUM ART EXPLOSION KWA
UHAI WA SANAA NA UTAMADUNI NCHINI.
KUMBUKA
MAONESHO YANAYOFUATA YA PROGRAM YA M.A.E ni Tar 22 Sept Saa 11 jioni Ufunguzi
wa maonesho ya Sanaa za Ufundi na Tar 23 Sept Saa moja kamili hadi saa 3:30
jioni Maonesho ya Jukwaani.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...