Tamasha la 35 la Sanaa na Utamaduni Bagamoyo, limeendelea kukonga
nyoyo za wakazi wa mji wa Bagamoyo na maeneo ya jirani ikiwa ni muendelezo burudani za kila siku tangu lilipofunguliwa mwanzoni mwa
wiki hii, tamasha hilo limesheheni
madhari halisi ya Muziki na ngoma mbalimbali za kiasili, Sanaa za Uchoraji na Uchongaji pamoja na Sanaa za Sarakasi na Maigizo mengi ya kuvutia na ya aina yake, linandelea kufanyika katika Kumbi za Taasisi ya Sanaa na Utamaduni Bagamoyo (TaSuBa) Mkoani Pwani, huku likitazamiwa kufikia tamati siku ya Jumapili Oktoba 2, 2016. Zifuatazo ni picha za kuvutia za matukio mbalimbali yaliyokuwa yakiendelea kwenye Tamasha hiyo.
Home
BURUDANI
MICHUZI TV
TAMASHA LA 35 LA SANAA NA UTAMADUNI BAGAMOYO LAKONGA NYOYO ZA MASHABIKI WA BURUDANI
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...