Msanii wa muziki wa bongo flava, Seif Mwinjuma ‘sholo mwamba’ akiimba
katika tamasha la Uhondo wa Zantel lililofanyika katika viwanja vya
Temeke Mwisho, Dar es Salaam hivi karibuni ikiwa ni moja ya kampeni za kampuni ya simu ya mkononi ya Zantel kuwa karibu na wateja wake ikiwajulisha bidhaa na huduma mpya zilizopo sokoni.
Meneja Habari na Uhusiano wa Kampuni ya simu ya Zantel, Winnes Lyaro
(kulia), akitoa maelezo kwa baadhi ya wakazi wa Temeke, Dar es Salaam
kuhusu huduma na bidhaa mpya zitolewazo na kampuni hiyo wakati
wa tamasha lililopewa jina la ‘uhondo wa Zantel’ lililodhaminiwa na
kampuni hiyo.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...