Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. Ni jambo jema kuona kwamba serilari ya awamu ya tano mmeliona hili. Uongozi bora ni pamoja na kuwa na uwezo wa kuona mbali. Nchi zilizoendelea zimekuwa zikifanya mchezo huu wa kuzibulula nchi masikini kwa kuwalambisha asali! Nchi zilizoendelea zimekuwa zikipenya saikolojia ya viongozi wa nchi masikini na nchi masikini kujikuta kwamba hatuna uamuzi wa mambo yetu wenyewe. Tuwaache hao waliosaini tayari, hata hivyo kwa nini swala hili halikuongelewa na nchi zote za Afrika ya Mashariki kabla ya baadhi ya nchi kusaini. Hii inaonekana wazi kuwa baadhi ya nchi katika umoja wa afrika ya mashariki ni vibaraka au wakala. Basi sisi kama watanzania tuwaache hao waliokwisha saini waendelee na utaratibu wao. Nchi zilizoendelea hawataki afrika tuwe na mambo yetu wenyewe kila jambo wanataka waingize pua zao sababu ikiwa ni moja, nayo ni kuturudisha nyuma kimaendeleo. ENZI HIZO KWA TANZANIA ZIMEKWISHA "THOSE DAYS ARE LONG GONE" na sasa ni "HAPA KAZI TU"
    Mungu ibariki Tanzania.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...