Familia ya Mzee Kangero  inasikitika kutangaza kifo cha baba yao Mzee Alfan Kahema Kangero (97) ambaye amefariki nyumbani kwake Kisangara Mwanga. Mipango ya mazishi inafanyika nyumbani kwa mwanae mkubwa  ADA Estate jijini Dar  es salaam  na Kisangara. 
Maziko yanayarajiwa kufanyika mwisho wa juma kutegemea mafanikio ya safari kwa watoto na ndugu walio nje ya nchi.
Habari ziwafikie ndugu, jamaa, marafiki na majirani popote walipo.
BWANA ALITOA, NA BWANA AMETWAA.
JINA LAKE NA LIHIMIDIWE...
AMEN

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...