Meneja Mahusiano Mkuu wa Kampuni ya kuhifadhi mafuta nchini
Tiper, Bw Emanuel Kondi akimkabidhi zawadi na cheti cha ushiriki wa Rock City
Marathon mmoja wa washindi kwa upande wa mbio fupi katika michuano hiyo
iliyofanyika mwishoni mwa wiki kwenye Uwanja wa CCM Kirumba jijini Mwanza. Kampuni
ya Tiper ni miongoni wa wadhamini wakubwa wa mbio hizo. Wengine ni pamoja na
Makamu Mwenyekiti wa kamati ya maandalizi ya mbio hizo, Bw Zenno Ngowi (wa pili
kulia)
Meneja Mahusiano Mkuu wa Kampuni ya kuhifadhi mafuta nchini
Tiper, Bw Emanuel Kondi akimkabidhi zawadi na cheti cha ushiriki wa Rock City
Marathon mmoja wa washindi katika michuano hiyo iliyofanyika mwishoni mwa wiki
kwenye Uwanja wa CCM Kirumba jijini Mwanza. Kampuni ya Tiper ni miongoni wa
wadhamini wakubwa wa mbio hizo. Wengine ni pamoja na Makamu Mwenyekiti wa
kamati ya maandalizi ya mbio hizo, Bw Zenno Ngowi (wa pili kulia) na Mwanariadha mkongwe hapa nchini Bw Juma Ikangaa.
Meneja Mahusiano Mkuu
wa Kampuni ya kuhifadhi mafuta nchini Tiper, Bw Emanuel Kondi akimkabidhi cheti
cha ushiriki wa Rock City Marathon mmoja wa washindi kwa upande wa mbio fupi
katika michuano hiyo iliyofanyika mwishoni mwa wiki kwenye Uwanja wa CCM
Kirumba jijini Mwanza. Kampuni ya Tiper ni miongoni wa wadhamini wakubwa wa
mbio hizo. Wengine ni pamoja na Makamu Mwenyekiti wa kamati ya maandalizi ya mbio
hizo, Bw Zenno Ngowi (wa pili kulia)
MASIKINI, MTOTO HAKUFUNDISHWA JINNSI YA KUPOKEA.
ReplyDelete