Bw. Bernard Odhuno Msimamizi wa Mradi  wa Ujenzi wa Miundombinu ya maji taka katika Manispaa za Ilala na Temeke (kwa niaba ya Ofisi ya Makamu wa Rais) akibadilishana Mkataba na Bw. Sheikh Bawazir  Mkurugenzi Mtendaji wa   Kampuni ya Dezo Civil Contractors iliyopewa kazi ya  Ujenzi wa Ukuta wa (Ocean Road na Kigamboni) na Miundombinu ya maji taka katika Manispaa za Ilala na Temeke.
Katibu Mkuu Ofisi ya Makamu wa Rais Eng. Ngosi Mwihava  (wa kwanza kushoto) akishudia utiaji saini wa Mkataba wa ujenzi wa Ukuta wa (Ocean Road na Kigamboni) na Ujenzi wa Miundombinu ya maji taka katika Manispaa za Ilala na Temeke.  Ujenzi huo utafanywa na Kampuni ya Dezo Civil Contractors. Wengine katika picha ni wawakilishi wa Kampuni ya Dezo na Watendaji kutoka Ofisi ya Makamu wa Rais.
(Picha na Kitengo cha Mawasiliano Serikalini)

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...