Katibu Mkuu wa Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano anayesimamia sekta ya Mawasiliano Prof. Faustin Kamuzora (kushoto) akizungumza na mshauri wa kiufundi wa Elimu ya ufundi na mafunzo wa shirika la maendeleo la Ujerumani hapa nchini (GIZ) Dkt. Karola Hahn kuhusu ushirikiano wao katika kukuza Elimu ya TEHAMA ili kurahisisha sekta nyingine kuchangia pato la Taifa.
Picha ya pamoja baada ya kumaliza kikao kuhusu ushirikiano wa kukuza Elimu ya TEHAMA ili kurahisisha sekta nyingine kuchangia kwa kiwango cha juu pato la Taifa.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...