THIS BLOG IS PROUDLY SPONSORED BY VODACOM, TANZANIA'S LEADING CELLULAR NETWORK. | CRDB BANK - THE BANK THAT LISTENS | NATIONAL BANK OF COMMERCE (NBC)- CONVENIENTLY EVERYWHERE | NATIONAL SOCIAL SECURITY FUND (NSSF) | PUBLIC SERVISE PENSIONS FUND (PSPF). ' Karibu katika hii Globu ya jamii. Una karibishwa kutoa maoni yako yoyote yatakayo jenga taifa letu. Nawasihi kila mmoja wetu ajiheshimu kwa kutumia lugha zisizochafua hali ya hewa. Yaliyomo humu hayahusiani kwa vyovyote vile na hariri za magazeti ya Daily News, HabariLeo na Sunday News. Maoni yanayotolewa na wasomaji si ya GLOBU YA JAMII, ni ya mtoa maoni isipokuwa pale itavyoelezwa vinginevyo. Akhsanteni sana na tuendeleze Libeneke.

Gadget

This content isn't available over encrypted connections yet.

UWT YACHANGIA SARUJI MIFUKO 200 KUWASAIDIA WAATHIRIKA WA TETEMEKO LA ARDHI KAGERA


Hoja moja imeshachangiwa mpaka sasa.

  1. Anonymous Anasema:

    Mbona anazungumzia chama zaidi ??nilidhani angeweka Utanzania kwanza badala ya kuwagawa waathirika kiitikadi si vizuri hata kidogo. Nakubali UWT kutoa msaada ila umenitumbukia nyongo kwakua ameweka siasa. Hii ni sawa na kunawa ili ule kisha ukashika mchanga na baadae kuendelea kula.