Meneja Uhusiano wa Vodacom Tanzania,Matina Nkurlu ( kushoto) akimkabidhi kitita cha shilingi Milioni 5/= Hassan Mfaume (kulia) alizojishindia kupitia promosheni ya ‘Kamata Mpunga’inayowawezesha wateja wa mtandao huo kujishindia pesa taslimu kuanzia shilingi Milioni 1 hadi 100. Makabidhiano hayo yalifanyika jijini Dar es Salaam leo Ijumaa Septemba2, 2016,yalihudhuriwa na Meneja Msimamizi wa masuala ya Usalama wa kampuni hiyo, James Wawenje. Ili mteja aweze kushiriki katika promosheni hii anatakiwa kutuma neno “GO”kwenda namba 15544.Aidha mteja anaweza kujiunga moja kwa moja kwa kutuma neno”WIN”kwenda namba 15544 na mteja atapata ujumbe wa kujibu maswali.
Mshindi wa kitita cha shilingi Milioni 5/=kupitia promosheni ya”Kamata Mpunga” inayoendeshwa na Vodacom Tanzania,Hassan Mfaume mkazi wa Mwananyamala (kulia) onyesha kitita chake baada ya kukabidhiwa na Meneja Uhusiano wa kampuni hiyo,Matina Nkurlu(kushoto).Makabidhiano hayo yaliyofanywa leo Ijumaa Septemba2, 2016, yalihudhuriwa na Meneja Msimamizi wa masuala ya Usalama wa kampuni hiyo, James Wawenje. Ili mteja aweze kushiriki katika promosheni hii anatakiwa kutuma neno “GO”kwenda namba 15544. Aidha mteja anaweza kujiunga moja kwa moja kwa kutuma neno”WIN”kwenda namba 15544 na mteja atapata ujumbe wa kujibu maswali.
Meneja Uhusiano wa Vodacom Tanzania,Matina Nkurlu (kushoto) na Meneja Msimamizi wa masuala ya Usalama wa Vodacom Tanzania, James Wawenje (kulia) wakishuhudia washindi wa promosheni ya”Kamata Mpunga”inayoendeshwa na kampuni hiyo,wakihesabu pesa zawa mara baada ya kukabidhiwa leo Ijumaa Septemba 2, 2016 jijini Dar es Salaam.Washindi hao ni Hassan Mfaume ( wa pili kushoto ) aliyejishindia kitita cha pesa Milioni 5/= Rashid Ally kutoka Kawe jijini aliyejishindia kitita cha Milioni 1/=, wote wawili ni ni wakazi wa jijini Dar es Salaam.Ili mteja aweze kushiriki katika promosheni hii anatakiwa kutuma neno “GO”kwenda namba 15544. Aidha mteja anaweza kujiunga moja kwa moja kwa kutuma neno”WIN”kwenda namba 15544 na mteja atapata ujumbe wa kujibu maswali.
Meneja Uhusiano wa Vodacom Tanzania,Matina Nkurlu (katikati) akizungumza na waandishi wa habari mara baada ya kuchezwa kwa droo ya mwezi kwenye promosheni ya”Kamata Mpunga”inayoendeshwa na kampuni hiyo, Katika doo hiyo mkazi wa Kibamba jijini Dar es Salaam Frank Lyimo aliibuka mshindi wa kitita cha Shilingi Milioni 20/=Ili mteja aweze kushiriki katika promosheni hii anatakiwa kutuma neno “GO”kwenda namba 15544. Aidha mteja anaweza kujiunga moja kwa moja kwa kutuma neno”WIN”kwenda namba 15544 na mteja atapata ujumbe wa kujibu maswali.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...