THIS BLOG IS PROUDLY SPONSORED BY VODACOM, TANZANIA'S LEADING CELLULAR NETWORK. | CRDB BANK - THE BANK THAT LISTENS | NATIONAL BANK OF COMMERCE (NBC)- CONVENIENTLY EVERYWHERE | NATIONAL SOCIAL SECURITY FUND (NSSF) | PUBLIC SERVISE PENSIONS FUND (PSPF). ' Karibu katika hii Globu ya jamii. Una karibishwa kutoa maoni yako yoyote yatakayo jenga taifa letu. Nawasihi kila mmoja wetu ajiheshimu kwa kutumia lugha zisizochafua hali ya hewa. Yaliyomo humu hayahusiani kwa vyovyote vile na hariri za magazeti ya Daily News, HabariLeo na Sunday News. Maoni yanayotolewa na wasomaji si ya GLOBU YA JAMII, ni ya mtoa maoni isipokuwa pale itavyoelezwa vinginevyo. Akhsanteni sana na tuendeleze Libeneke.

Gadget

This content isn't available over encrypted connections yet.

WAKAZI WA JIJINI LA DAR ES SALAAM WAJITOKEZA KWA WINGI KUCHEKI AFYA ZAO LEO.WANANCHI  na wakazi wa jijini la Dar es Salaam wajitokeza katika viwanja vya mnazi Mmoja jijini Dar es Saala kupima afya zao ambapo madaktari wa hospitali mbalimbali za jijini la Dar es Salaam watakuwepo katika viwanja hivyo kwaajili ya kupima afya za wananchi wa jijini la Dar es Salaam bila malipo yoyote.
 Baadhi ya Wananchi wakiwa katika foleni ya kuelekea sehemu ambazo zimetengwa kwaajili ya kucheki afya jijini Dar es Salaam leo.
Baadhi ya Madaktari na watoa huduma ya afya wakitoa huduma leo katika viwanja vya mnazi Mmoja jijini Dar es Salaam leo.
Umati wa wananchi waliojitokeza kupima afya zao mara baada ya Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makondo kuomba wananchi kwenda katika viwanja vya Mnazimmoja kucheki afya leo na kesho.


Hoja moja imeshachangiwa mpaka sasa.

  1. Anonymous Anasema:

    Hii inaonyesha ni kwa namna gani watu wanajali afya zao.
    Hiyo huduma ingewekwa angalao mara moja kwa mwezi.