WANANCHI  na wakazi wa jijini la Dar es Salaam wajitokeza katika viwanja vya mnazi Mmoja jijini Dar es Saala kupima afya zao ambapo madaktari wa hospitali mbalimbali za jijini la Dar es Salaam watakuwepo katika viwanja hivyo kwaajili ya kupima afya za wananchi wa jijini la Dar es Salaam bila malipo yoyote.
 Baadhi ya Wananchi wakiwa katika foleni ya kuelekea sehemu ambazo zimetengwa kwaajili ya kucheki afya jijini Dar es Salaam leo.
Baadhi ya Madaktari na watoa huduma ya afya wakitoa huduma leo katika viwanja vya mnazi Mmoja jijini Dar es Salaam leo.
Umati wa wananchi waliojitokeza kupima afya zao mara baada ya Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makondo kuomba wananchi kwenda katika viwanja vya Mnazimmoja kucheki afya leo na kesho.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. Hii inaonyesha ni kwa namna gani watu wanajali afya zao.
    Hiyo huduma ingewekwa angalao mara moja kwa mwezi.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...