Kamanda wa Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam, Kamishina Simon Sirro akionyesha Bunduki aina ya Gobole kwawaandishi habari jijini Dar es Salaam.
 Kamanda wa Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam, Kamishina Simon Sirro akionyesha namba za usajili bandia zinazotumiwa na wahalifu pikipiki kwa waandishi habari jijini Dar es Salaam.
 Kamanda wa Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam, Kamishina Simon Sirro akionyesha namba za usajili bandia zinazotumiwa na wahalifu kwa pikipiki kwa waandishi habari jijini Dar es Salaam.

Kamanda wa Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam, Kamishina Simon Sirro akionyesha magari yaliyoibiwa sehemu mbalimbali ya jiji la Dar es Salaam 1 kwa waandishi habari jijini Dar es Salaam. Picha na Emmanuel Massaka,Globu ya jamii. Kwa taarifa kamili BOFYA HAPA
                                          

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. SASA MBONA VITU VITAKAVYOTUMIKA KAMA USHAHIDI VINASHIKWA BILA HATA GLOVES.
    CRIME SCENE AND EVIDENCE HAS TO BE PROTECTED OTHERWISE IT IS TEMPERING WITH EVIDENCE.

    ReplyDelete
  2. Wewe hapo ni bongo. Huko uliko mchangiaji sawa yaweza kuwa hivyo lakini hapa bongo hata ukikuta maiti shika tu no problem. Well come bongo.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...