THIS BLOG IS PROUDLY SPONSORED BY VODACOM, TANZANIA'S LEADING CELLULAR NETWORK. | CRDB BANK - THE BANK THAT LISTENS | NATIONAL BANK OF COMMERCE (NBC)- CONVENIENTLY EVERYWHERE | NATIONAL SOCIAL SECURITY FUND (NSSF) | PUBLIC SERVISE PENSIONS FUND (PSPF). ' Karibu katika hii Globu ya jamii. Una karibishwa kutoa maoni yako yoyote yatakayo jenga taifa letu. Nawasihi kila mmoja wetu ajiheshimu kwa kutumia lugha zisizochafua hali ya hewa. Yaliyomo humu hayahusiani kwa vyovyote vile na hariri za magazeti ya Daily News, HabariLeo na Sunday News. Maoni yanayotolewa na wasomaji si ya GLOBU YA JAMII, ni ya mtoa maoni isipokuwa pale itavyoelezwa vinginevyo. Akhsanteni sana na tuendeleze Libeneke.

Gadget

This content isn't available over encrypted connections yet.

YALIYOJIRI BUNGENI LEO September 9, 2016SIMU.tv: Serikali inampango gani wa kutatua changamoto katika vyama vya ushirika wilaya ya Karagwe? Naibu waziri  Antony Mavunde anatoa ufafanuzi.https://youtu.be/sDFyQYjoiaM.

 SIMU.tv: Serikali yatolea  ufafanuzi juu ya kuzisaidia hospitali zinazomilikwa na taasisi za dini ili kuziwesha kutoa huduma bora za afya kwa jamii;https://youtu.be/ootCiuZuO2s
 SIMU.tv: Serikali inampango gani wa kutatua shida ya maji wilayani Bagamoyo? Naibu waziri wa maji Mhe.Isack Kamwelwe anajibu swali la Mhe.Kawambwa;https://youtu.be/0Jzm1N6FQ60
 SIMU.tv: Serikali inamkakati wa kuiwezesha TRA kupata rekodi za moja kwa moja kutoka kwa wafanyabiashara? Naibu waziri Ashatu Kijaji anafafanua.https://youtu.be/WIObrtoO74c
 SIMU.tv: Hii hapa kauli ya serikali kuhusu vigezo inavyotumia kutoa mikopo kwa vyama vya  ushirika pamoja na Vicoba; https://youtu.be/_Irp-ehjY6E
 SIMU.tv: Je,Serikali inampango wa kuwamilikisha ardhi wakazi wa Nachingwea? Naibu waziri wa ardhi Mhe.Mabula akijibu swali la Mhe.Masala;https://youtu.be/abDHp4qkgs4
 SIMU.tv: Je, serikali inampango gani wa kuweka sheria kali kwa watu wanaohusika kuwanyanyasa watoto? Haya hapa ni maelezo ya serikali. https://youtu.be/HDCpoL-reJI
 SIMU.tv: Fahamu kauli ya serikali kuhusu kuboresha miundombinu ya mawasiliano katika vijiji vya Kichelu, kiasi na Mbwela. https://youtu.be/J6U8KgVgyY8