THIS BLOG IS PROUDLY SPONSORED BY VODACOM, TANZANIA'S LEADING CELLULAR NETWORK. | CRDB BANK - THE BANK THAT LISTENS | NATIONAL BANK OF COMMERCE (NBC)- CONVENIENTLY EVERYWHERE | NATIONAL SOCIAL SECURITY FUND (NSSF) | PUBLIC SERVISE PENSIONS FUND (PSPF). ' Karibu katika hii Globu ya jamii. Una karibishwa kutoa maoni yako yoyote yatakayo jenga taifa letu. Nawasihi kila mmoja wetu ajiheshimu kwa kutumia lugha zisizochafua hali ya hewa. Yaliyomo humu hayahusiani kwa vyovyote vile na hariri za magazeti ya Daily News, HabariLeo na Sunday News. Maoni yanayotolewa na wasomaji si ya GLOBU YA JAMII, ni ya mtoa maoni isipokuwa pale itavyoelezwa vinginevyo. Akhsanteni sana na tuendeleze Libeneke.

Gadget

This content isn't available over encrypted connections yet.

YALIYOJIRI KATIKA VITUO MBALIMBALI VYA TELEVISHENI LEO September 22, 2016
SIMU.tv: Rais Magufuli amemtumia salamu za rambirambi mkuu wa mkoa wa Mwanza kutokana na ajali mbaya  ya gari iliyotokea wilayani Kwimba:https://youtu.be/pPPWmQkMP9s
 SIMU.tv: Mahakama kuu ya Tanzania jana imemtangaza mbunge halali  wa manispaa ya  Temeke  Abdallah Mtolea kupitia chama cha CUF: https://youtu.be/_8fMxWGRFXY
 SIMU.tv: Watoto zaidi ya 4500 wenye tatizo la mgongo wazi,kichwa kikubwa na matatizo ya mifupa huzaliwa kila mwaka nchini Tanzania: https://youtu.be/47OTkrflB8I
 SIMU.tv: Rais wa Zanzibar Dkt.Shein amesema atahakikisha kituo cha televisheni cha Zanzibar kitaingia kikamulifu katika mfumo wa digitali mwaka huu:https://youtu.be/Mcp25P254-g
 SIMU.tv: Rais Magufuli amewapongeza wachezaji wa  timu ya taifa ya wanawake kwa kuandika historia ya kuwa mabingwa wa kwanza katika michuano ya Challenge:https://youtu.be/uIh0bY_t96Y
 SIMU.tv: Wasanii wametakiwa kuwa na nidhamu na bidii katika uigizaji ili kupata mafanikio katika anga za  kitaifa na kimataifa: https://youtu.be/Ad2veAOGoJc
 SIMU.tv: Fahamu mambo muhimu zaidi juu ya sababu za kuadhisha siku ya Tembo kitaifa ikihusianishwa ziadi na kukua kwa uchumi nchini;https://youtu.be/TTGuQW4IljE
 SIMU.tv: Fuatilia ufahamu zaidi juu ya uzinduzi wa shamba darasa la sungura na umuhimu wake kutoka kwa Bi Ubwa Ibrahim; https://youtu.be/JHufN7c7Kik
 SIMU.tv: Fahamu zaidi kuhusu mkutano wa vijana kutoka nchi mbalimbali Afrika juu ya mabadiriko ya tabia ya nchi na nishati; https://youtu.be/7vqmDqmsnKQ