Mratibu wa Kongamano la Biashara baina ya Tanzania na Congo DRC, Bi. Anna  Msonsa akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani) leo Jijini Dar es Salaam, kuhusu kongamano hilo linalotarajiwa kufanyika Septemba 22 Jijini Lubumbashi, DR Congo. Kushoto ni Afisa Miradi wa Kampuni ya Uhusiano ya 361 Tanzania, Bi. Naomi Godwin.
 Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Taasisi ya Sekta Binafsi Tanzania (TPSF) Bw. Louis P. Accaro akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani) leo Jijini Dar es Salaam, kuhusu kongamano hilo linalotarajiwa kufanyika Septemba 22 Jijini Lubumbashi, DR Congo. Kushoto ni Mratibu wa Kongamano la Biashara baina ya Tanzania na Congo DRC, Bi. Anna Msonsa.
Meneja wa Masoko wa Kampuni ya GSM Group Bi. Farida Rubanza (kushoto) akielezea jambo wakati wa mkutanio wao na  waandishi wa habari (hawapo pichani) leo Jijini Dar es Salaam. Kutoka kulia ni Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Taasisi ya Sekta Binafsi Tanzania (TPSF) Bw. Louis P. Accaro, Mratibu wa Kongamano la Biashara baina ya Tanzania na Congo DRC, Bi. Anna Msonsa na Afisa Miradi wa Kampuni ya Uhusiano ya 361 Tanzania, Bi. Naomi Godwin. Picha na Frank Shija, MAELEZO.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...