Imetokea mapema leo mchana maeneo ya Millienium Tower,Kijitonyama jijini Dar.



Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. Ningependa Mheshimiwa Makonda aangalie tena waendeshaji wa Bajaj hasa walemavu . Uendeshaji wao wa vyombo ni rough sana wanakimbizana , wanapeana ubavu wengine hawaaangali kama wamepakia watu ... yaani kama wamepakia magunia ya viazi . Nchi zilizoendelea madereva wenye ulemavu au wenye umri zaidi ya miaka 65 uendeshaji wao ni wa makini sana na uangalifu zaidi . Hivyo watu wengi wanakuwa na imani nao zaidi . Ningependa Mh. Makonda kwa kushirikiana na vyombo vya usalama , Traffic kutoa elimu zaidi kwa watu wenye ulemavu pindi wanapotumia vyombo vya moto .

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...