THIS BLOG IS PROUDLY SPONSORED BY VODACOM, TANZANIA'S LEADING CELLULAR NETWORK. | CRDB BANK - THE BANK THAT LISTENS | NATIONAL BANK OF COMMERCE (NBC)- CONVENIENTLY EVERYWHERE | NATIONAL SOCIAL SECURITY FUND (NSSF) | PUBLIC SERVISE PENSIONS FUND (PSPF). ' Karibu katika hii Globu ya jamii. Una karibishwa kutoa maoni yako yoyote yatakayo jenga taifa letu. Nawasihi kila mmoja wetu ajiheshimu kwa kutumia lugha zisizochafua hali ya hewa. Yaliyomo humu hayahusiani kwa vyovyote vile na hariri za magazeti ya Daily News, HabariLeo na Sunday News. Maoni yanayotolewa na wasomaji si ya GLOBU YA JAMII, ni ya mtoa maoni isipokuwa pale itavyoelezwa vinginevyo. Akhsanteni sana na tuendeleze Libeneke.


Gadget

This content isn't available over encrypted connections yet.

AWAMU YA TANO NI KUCHAPA KAZI TUMkuu wa Wilaya ya Nachingwea Mh. Rukia Muwango akikagua mradi wa maji kijiji cha Mbwilinji


Kuna Maoni 2 mpaka sasa.

  1. HK Anasema:

    Nadhani Mh. Mkuu wa Wilaya ya Nachingwea Mh. Rukia Muwango, Mbali ya wito wa "HAPAKAZITU" lakini,kiusalama ilitakiwa kabla hajakwea huko juu kukaguwa hilo 'tangi la maji' ni vyema sana angezingatia suala zima la 'healthy and safety' hii ikiwa ni pamoja na kuvaa vazi ambalo lingeruhusu na kwenda sambamba na uparamiaji wa huko juu ya hilo 'tangi'. Hii ikiwa ni pamoja na 'foot wear' bila kusahau 'helmet' maana inaonekana alidhanimiri kukaguwa mradi vilivyo. Otherwise, kama ni ukaguzi tu wa maeneo mengine ya kawaida almuradi vifaa hatarishi havizungukii au kuwepo katika maeneo hayo, basi hata hivyo alivyokuwa kavaa ni sawa tu.

  2. Anonymous Anasema:

    Hii ni hatari sana sana kwa Mhe. ni vyema wahusika wakachukuwa taadhari ya kuwashauri wakuu kutofanya hatari hizi!!