Mkuu wa Wilaya ya Nachingwea Mh. Rukia Muwango akikagua mradi wa maji kijiji cha Mbwilinji

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. Nadhani Mh. Mkuu wa Wilaya ya Nachingwea Mh. Rukia Muwango, Mbali ya wito wa "HAPAKAZITU" lakini,kiusalama ilitakiwa kabla hajakwea huko juu kukaguwa hilo 'tangi la maji' ni vyema sana angezingatia suala zima la 'healthy and safety' hii ikiwa ni pamoja na kuvaa vazi ambalo lingeruhusu na kwenda sambamba na uparamiaji wa huko juu ya hilo 'tangi'. Hii ikiwa ni pamoja na 'foot wear' bila kusahau 'helmet' maana inaonekana alidhanimiri kukaguwa mradi vilivyo. Otherwise, kama ni ukaguzi tu wa maeneo mengine ya kawaida almuradi vifaa hatarishi havizungukii au kuwepo katika maeneo hayo, basi hata hivyo alivyokuwa kavaa ni sawa tu.

    ReplyDelete
  2. Hii ni hatari sana sana kwa Mhe. ni vyema wahusika wakachukuwa taadhari ya kuwashauri wakuu kutofanya hatari hizi!!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...