Keki maalumu iliyoandaliwa na Benki ya NMB tawi la Nelson Mandela mjini Mjini Moshi kwa ajili ya wateja wake ktika kuadhimisha wiki ya huduma kwa wateja Duniani.
Mkuu wa mkoa wa Kilimanjaro Said Meck Sadiki akiwaongoza viongozi wengine,wateja na wafanyakazi wa Benki ya NMB tawi la Nelson Mandela mjini Moshi kukata keki wakiadhimisha wiki ya huduma kwa wateja.
Wafanyakazi wa Benki ya NMB tawi la Nelson Mandela mjini Moshi wakimlisha keki Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro Said Meck Sadiki katika maadhimisho hayo.
Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro Said Meck Sadiki akiwa katika picha ya pamoja na wateja wengine wa benki hiyo pamoja na wafanyakazi wakati wa kuadhimisha wiki ya huduma kwa wateja Duniani.
Na Dixon Busagaga wa Globu ya Jamii Kanda ya Kaskazini.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...