Mkuu wa wilaya ya Iringa Richard Kasesela akifungua warsha ya LASWA katika ukumbi wa chuo kikuu huria cha Tanzania.
Maofisa Watendaji wa Halmashauri ya Iringa wakiwa katika picha ya pamoja na mgeni rasmi mkuu wa wilaya ya Iringa.
Wafanyakazi wa Laswa wakiwa katika 
 picha ya pamoja na mkuu wa wilaya ya Iringa.

Na Matukiodaima BLOG.
SERIKALI wilayani Iringa imepongeza jitihada mbali mbali zinazofanywa na kituo cha msaada wa kisheria cha LASWA mkoani Iringa na kutaka kituo hicho kuendelea kupeleka vijijini wasaidizi wa kisheria ili kuwasaidia wananchi kujua haki zao na kuagiza wananchi kuwafichua matapeli wanaokopesha wananchi mikopo ya riba kubwa.

Akizungumza wakati wa uzinduzi wa warsha ya ufunguzi wa mradi wa kuimarisha huduma ya wasaidizi wa kisheria kwa ajili ya kuboresha upatikanaji wa haki kwa wananchi wote hasa kina mama wajawazito iliyotolewa kwa madiwani wa wilaya nzima ya Iringa na watendaji wa kata jana katika ukumbi wa chuo kikuu huria cha Tanzania , mkuu wa wilaya ya Iringa Richard Kasesela alisema kuwa kumekuwepo na utapeli unaofanywa na baadhi ya watu kupitia mikopo hiyo kwa kuwatoza wananchi riba kubwa jambo ambalo halitavumiliwa. Kusoma zaidi BOFYA HAPA

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...