Mkuu wa Wilaya ya Ilala, Sophia Mjema akipata maelezo kuhusu utendaji kazi wa Zahanati ya Vingunguti, alipokagua Zahanati hiyo leo. Kulia ni Mganga Mkuu wa Zahanati hiyo Chiku Simba. Kushoto ni Katibu Tawala wa Wilaya ya Ilala Edward Mpogolo
Mkuu wa Wilaya Sophia Mjema akizungumza na baadhi wa wagonjwa waliokuwa wakisubiri kupatiwa huduma katika zahanati ya Vingunguti alipotembelea Zahanati hiyo leo
Mkuu wa Wilaya Sophia Mjema akizungumza na baadhi wa wagonjwa waliokuwa wakisubiri kupatiwa huduma katika zahanati ya Vingunguti alipotembelea Zahanati hiyo.
Mkuu wa Wilaya Sophia Mjema akizungumza na baadhi wa wagonjwa waliokuwa wakisubiri kupatiwa huduma katika zahanati ya Vingunguti alipotembelea Zahanati hiyo 
Mkuu wa Wilaya Sophia Mjema akizungumza na baadhi wa wagonjwa waliokuwa wakisubiri kupatiwa huduma katika zahanati ya Vingunguti alipotembelea Zahanati hiyo.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...