Rais wa zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (wa pili kulia) akipata maelezo ya Ramani ya Ujenzi wa nyumba za ZSSF kutoka kwa Mkurugenzi Mtendaji wa Mfuko wa Hifadhi ya Jamii Zanzibar Nd,Abdulwakil Haji Hafidh wakati alipofanya ziara maalum kutembelea maendeleo ya ujenzi huo,huko Mbweni Wilaya ya Magharibi Unguja leo.
Rais wa zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) akipata maelezo ya Ramani ya Ujenzi wa nyumba za ZSSF kutoka kwa Mkurugenzi Mtendaji wa Mfuko wa Hifadhi ya Jamii Zanzibar Nd,Abdulwakil Haji Hafidh wakati alipofanya ziara maalum kutembelea maendeleo ya Mradi wa ujenzi huo,huko Mbweni Wilaya ya Magharibi Unguja leo.
Rais wa zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) akipata maelezo kutoka kwa Meneja Mipango,Uwekezaji na utafiti wa mfuko wa hifadhi ya Jamii Nd, Khalifa Muumin Hilali wakati alipofanya ziara maalum kutembelea maendeleo ya Mradi wa ujenzi wa Nyumba za ZSSF huko Mbweni Wilaya ya Magharibi Unguja leo.
Mwenyekiti wa Bodi ya Mfuko wa Hifadha ya Jamii Zanzibar Dkt.Suleiman Rashid Mohammed (kulia) akitoa maelezo kwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (katikati) wakati alipofanya ziara maalum kutembelea maendeleo ya Mradi wa Ujenzi wa nyumba za ZSSF huko Mbweni Wilaya ya Magharibi Unguja leo,(kushoto) Meneja Mipango,Uwekezaji na utafiti wa mfuko wa hifadhi ya Jamii Nd, Khalifa Muumin Hilali,[Picha na Ikulu.] 04/10/2016.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...