THIS BLOG IS PROUDLY SPONSORED BY VODACOM, TANZANIA'S LEADING CELLULAR NETWORK. | CRDB BANK - THE BANK THAT LISTENS | NATIONAL BANK OF COMMERCE (NBC)- CONVENIENTLY EVERYWHERE | NATIONAL SOCIAL SECURITY FUND (NSSF) | PUBLIC SERVISE PENSIONS FUND (PSPF). ' Karibu katika hii Globu ya jamii. Una karibishwa kutoa maoni yako yoyote yatakayo jenga taifa letu. Nawasihi kila mmoja wetu ajiheshimu kwa kutumia lugha zisizochafua hali ya hewa. Yaliyomo humu hayahusiani kwa vyovyote vile na hariri za magazeti ya Daily News, HabariLeo na Sunday News. Maoni yanayotolewa na wasomaji si ya GLOBU YA JAMII, ni ya mtoa maoni isipokuwa pale itavyoelezwa vinginevyo. Akhsanteni sana na tuendeleze Libeneke.


Gadget

This content isn't available over encrypted connections yet.

JOHN BOCCO ALAMBA MILIONI 1/- YA KUWA MCHEZAJI BORA WA LIGI KUU YA VODACOM TANZANIA BARA MWEZI AUGUST 2016

Mshambuliaji wa timu ya Azam FC,John Bocco(kushoto)akipokea hundi yenye thamani ya shilingi Milioni 1/- Kwa kuwa mchezaji bora wa Ligi kuu ya Vodacom Tanzania bara Mwezi August,toka kwa Mkuu wa kitengo cha Uhuasiano na Mawasiliano wa Vodacom Tanzania,Jacquiline Materu(kulia)kabla ya mchezo kuanza wa timu yake na Yanga hapo jana katika uwanja wa Uhuru jijini Dar es Salaam.Katikati ni Mkurugenzi wa bodi ya ligi,Boniface Wambura.