Katibu Mkuu Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Prof. Elisante Ole Gabriel (kulia) pamoja na Balozi wa Italia, Mhe. Roberto Mengoni wakikata utepe kuashiria ufunguzi wa Maonyesho ya Uchoraji picha za Utamaduni wa Italia 17 Oktoba, 2016 Jijini Dar es Salaam.

Katibu Mkuu Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Prof. Elisante Ole Gabriel (kulia) akiwahutubia wageni waalikwa wakati wa Ufunguzi wa Maonyesho ya Uchoraji picha za Utamaduni wa Italia 17 Oktoba, 2016 Jijini Dar es Salaam.

Balozi wa Italia, Mhe. Roberto Mengoni(kulia) akiwahutubia wageni waalikwa wakati wa Ufunguzi wa Maonyesho ya Uchoraji picha za Utamaduni wa Italia 17 Oktoba, 2016 Jijini Dar es Salaam. 
Katibu Mkuu Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Prof. Elisante Ole Gabriel (kulia) akiangalia michoro mbalimbali ya picha za kiutamaduni wa Italia baada ya Ufunguzi wa Maonyesho ya Uchoraji picha za Utamaduni wa Italia 17 Oktoba, 2016 Jijini Dar es Salaam. (Picha zote na Benedict Liwenga-WHUSM).

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...