Polisi kanzu akimdhibiti kwa bastola, alipomkamata kijana aliyekimbia na pingu baada ya kufika katika Mahakama ya Ilala, Kariakoo jijini Dar es Salaam, leo akitokea mahabusu. jina la kijana huyo na kesi inayomkabili havikuweza kupatikana mara moja. Kijana huyo alikamatwa hatua chache katika mtaa wa Lumumba.
 Abiria waliokuwa katika daladala wakishangaa tukio hilo
 Polisi akimdhibiti kijana huyo wakati akirejeshwa mahakamani baada ya kukamatwa akijaribu kukimbia na pingu
 Polisi akimdhibiti kijana huyo wakati akirejeshwa mahakamani baada ya kukamatwa akijaribu kukimbia na pingu. PICHA ZOTE NA BASHIR NKOROMO-theNkoromo Blog

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...