Sehemu ya eneo la barabara ya Mwananyamala  ambapo mmoja wa wakazi wa eneo hilo akizoa tope la maji linalotokana na kutiririka kwa maji ya Mabomba ya Dawasco,Mkazi huyo huwatoza waendesha magari kulipia kiasi chochote na kuruhusu magari kupita eneno hilo 
 Moja ya barabara ya  Mwananyamala ikiwa imejaa maji kutokana na kupasuka kwa mabomba ya Dawasco,ambayo hupelekea uharibifu mkubwa wa barabara na pia kusasabisha adha kubwa kwa waendesha magari na pia wapitao kwa Miguu.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...