Mkuu wa Mkoa wa Singida Mhandisi Mathew Mtigumwe, Mkuu wa Wilaya ya Ikungi Mhe Miraji Jumanne Mtaturu na viongozi wa ngazi ya Chama cha Mapinduzi CCM Wilaya ya Ikungi wakishuhudia wakimbiaji wanavyowasili katika uwanja wa shule Ya Sekondari Ikungi.
Washiriki wa Ikungi Half Marathon 2016 walivyoanza mbio hizo katika Kijiji Cha Kimbwi Kuelekea Uwanja wa Shule Ya Sekondari Ikungi 
Washiriki wa Ikungi Half Marathon 2016 wakichuana kuelekea Uwanja wa Shule Ya Sekondari Ikungi. 
Mwandishi wa www.wazo-huru.blogspot.com akimsaidia kufanya mazoezi ya kuimarisha misuli Mshindi wa Ikungi Half Marathon 2016 kwa upande wa wananwake kwa umbali wa Kilomita 21.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...