Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akimkaribisha Ofisini kwake, Balozi wa Sudan nchini Tanzania, Mahgoub Ahmed Sharfi, kabla ya mazungumzo yao yaliyofanyika leo, Alhamisi, Oktoba 20, 2016, Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM, Lumumba jijini Dar es Salaam
 Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akizungumza na Balozi wa Sudan nchini Tanzania, Mahgoub Ahmed Sharfi, Ofisini kwake, Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM, Lumumba jijini Dar es Salaam, leo
  Balozi wa Sudan nchini Tanzania, Mahgoub Ahmed Sharfi, akifafanua jambo wakati alipokuwa katika mazungumzo na Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana, katika Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM, Lumumba jijini Dar es Salaam, leo
 Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akiagana na Balozi wa Sudan nchini Tanzania, Mahgoub Ahmed Sharfi,baada ya mazngumzo yao yaliyofanyika leo katika  Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM, Lumumba jijini Dar es Salaam,PICHA ZOTE NA BASHIR NKOROMO-theNkoromo Blog

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...