Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Sera, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira, na Walemavu Mhe. Jenista Mhagama (katikati) kwa kushirikiana na Mkuu wa Mkoa wa Simiyu Mhe. Anthony Mtaka (kulia) na Mkuu wa Wilaya ya Maswa Dkt. Seif Shekalaghe (kushoto) kukata utepe kuzindua rasmi kiwanda cha chaki cha Maswa Youth Family  jana katika Halmashauri ya Maswa Mkoani Simiyu.
 Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Sera, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira, na Walemavu Mhe. Jenista Mhagama (watatu kulia) akipata taarifa fupi ya kiwanda cha Maswa Youth Family kutoka kwa Mwenyekiti wa kiwanda hicho Bw. Kelvin Steven (kulia) baada ya kuwasili katika kiwanda hicho kwa ajili ya kukizindua rasmi jana katika Halmashauri ya Maswa Mkoani Simiyu. Wapili kulia ni Naibu Waziri Kazi, Ajira na Vijana Mhe. Antony Mavunde na kushoto ni Mkuu wa Mkoa wa Simiyu Mhe. Anthony Mtaka.
 Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Sera, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira, na Walemavu Mhe. Jenista Mhagama (kulia) akimimina mchanganyiko wa mahitaji ulioandaliwa kwa ajili ya kutengeneza chaki katika moja ya mashine ya kutengeneza      
Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Sera, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira, na Walemavu Mhe. Jenista Mhagama (katikati) akiangalia chaki alizotengeneza   katika kiwanda cha Maswa Youth Family kabla ya kukizundua rasmi kiwanda hicho jana katika Halmashauri ya Maswa Mkoani Simiyu. Wapili kushoto ni Mkuu wa Mkoa wa Simiyu Mhe. Anthony Mtaka na kulia ni kijana kutoka Maswa Youth Family Bw. Razaro Zabroni.



Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...