THIS BLOG IS PROUDLY SPONSORED BY VODACOM, TANZANIA'S LEADING CELLULAR NETWORK. | CRDB BANK - THE BANK THAT LISTENS | NATIONAL BANK OF COMMERCE (NBC)- CONVENIENTLY EVERYWHERE | NATIONAL SOCIAL SECURITY FUND (NSSF) | PUBLIC SERVISE PENSIONS FUND (PSPF). ' Karibu katika hii Globu ya jamii. Una karibishwa kutoa maoni yako yoyote yatakayo jenga taifa letu. Nawasihi kila mmoja wetu ajiheshimu kwa kutumia lugha zisizochafua hali ya hewa. Yaliyomo humu hayahusiani kwa vyovyote vile na hariri za magazeti ya Daily News, HabariLeo na Sunday News. Maoni yanayotolewa na wasomaji si ya GLOBU YA JAMII, ni ya mtoa maoni isipokuwa pale itavyoelezwa vinginevyo. Akhsanteni sana na tuendeleze Libeneke.

Gadget

This content isn't available over encrypted connections yet.

KUmbukumbu

 
                                                               11-05-1970- 24-10-1999                                                            

        DAFROSA KWEKA MSENGI

Leo umetimiza miaka kumi na saba (17) tangu ulipoitwa mbinguni kwa BABA.

Kweli ua zuri limerudi kwenye Bustani ya Eden. Hatuna cha kusema, tumebaki kushukuru tuu maana imeandikwa tushukuru kwa kila jambo.

Tunakumbuka sana Upendo na Ushirikiano, Uchapakazi na uzuri uliokuwa nao. Kweli ulikuwa mfano wa kuigwa, hata kazini kwako wanakukumbuka. Dfrosa, tupo kama ulivyotuacha ila umebahatika kuwa na mjukuu mmoja na tumempa jina lako kama ukumbusho. Imani yetu ni kuwa ipo siku wote tutakutana tena paradise na kufurahi tena pamoja.

Unakumbukwa sana na mumeo mpendwa DR. IBRAHIM MSENGI,mwanao wa pekee Jesca, nduguzo JANE,FESTO,EUGENIA, ELIZABETH,CECILIA na THADEI, shangazi yako mpendwa SR. DEVOTHA KWEKA CDNK,Wajomba,Mashemeji na Mawifi wa kwa BASI wote, WAKWEKA wote wa NURUMU kina MSENGI wote na MKALAMO – SINGIA, Wafanyakazi wa idara ya fedha za kigeni- Benki kuu, Majirani wa TEMEKE – MIKOROSHINI na TABATA,ndugu,Jamaa, na Marafiki wote.


“RAHA YA MILELE UMPE Eee Bwana………………………………….”