Mkurugenzi Mkuu wa Mfuko wa Pensheni (PSPF) Adam Mayingu, akizungumza na wanachama wa Chama Cha Walimu Wastaafu jiji la Tanga (Chajiwata) wakati wa maadhimisho ya wiki ya Huduma kwa Mteja jana. kulia anaemwangalia ni Mkuu wa Mkoa wa Tanga, Martin Shigella.
 Mkurugenzi Mkuu wa Mfuko wa Pensheni (PSPF) Adam Mayingu, akipokea Hati na Katiba ya Chama Cha Walimu Wastaafu jiji la Tanga (Chajiwata) kutoka kwa aliekuwa Afisa Elimu shule ya Msingi jiji la Tanga, Damass Kifanga.


Wanachama wa Chama Cha Walimu Wastaafu  jiji la Tanga (Chawajita) , wakifuatilia hotuba ya mkurugenzi mkuu wa Mfuko wa Pensheni (PSPF), Adam Mainga, wakati wa maadhimisho ya wiki ya huduma kwa mteja kwa walimu wastaafu uliofanyika Tanga jana.




  Mkuu wa Mkoa wa Tanga, Martin Shigella, akifungua mkutano wa wanachama wa Chama Cha  Walimu Wastaafu jiji la Tanga, (Chawajita) wakati wa maadhimisho ya wiki ya huduma kwa mteja wa Mfuko wa Pensheni (PSPF) uliofanyika Tanga 
Viongozi wa Chama Cha Walimu Wastaafu jiji la Tanga (Chajiwata) pamoja na STAFF ya Mfuko wa Pensheni (PSPF) wakiwa katika picha ya pamoja na Mkuu wa Mkoa wa Tanga, Martin Shigella mara baada ya mkutano na walimu wastaafu wakati wa maadhimisho ya wiki ya huduma kwa mteja mkutano uliofanyika jana ukumbi wa mikutano jengo la Mkuu wa Mkoa.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...