GAVANA WA BENKI KUU YA TANZANIA PROFESA BENNO NDULLU Mheshimiwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Joseph Magufuli, alipoingia madarakani mwezi Novemba 2015 aliendeleza jitihada za kukuza uchumi wa nchi yetu kwa kuweka mkazo na kutoa maagizo kwenye maeneo kadhaa.
Maeneo hayo ni pamoja na; kuongeza nguvu kwenye ukusanyaji
wa kodi, kupiga vita rushwa, kuweka msisitizo mkubwa wa nidhamu ya matumizi ya
fedha za umma, kupunguza matumizi yasiyo ya lazima na kuelekeza matumizi katika
sekta za vipaumbele vya maendeleo.
Aidha, kuzitaka Wizara, Wakala na Taasisi za
Umma kuweka fedha zao Benki Kuu na kuhimiza kila mtu afanye kazi na kula kwa
jasho lake ili kutekeleza falsafa ya ‘Hapa kazi tu’.
|
Home
Unlabelled
MAFANIKIO YA KIUCHUMI KUTOKANA NA JITIHADA MBALI MBALI ZILIZOFANYWA NA SERIKALI YA AWAMU YA TANO KATIKA KIPINDI CHA MWAKA MMOJA - BENKI KUU YA TANZANIA
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...