THIS BLOG IS PROUDLY SPONSORED BY VODACOM, TANZANIA'S LEADING CELLULAR NETWORK. | CRDB BANK - THE BANK THAT LISTENS | NATIONAL BANK OF COMMERCE (NBC)- CONVENIENTLY EVERYWHERE | NATIONAL SOCIAL SECURITY FUND (NSSF) | PUBLIC SERVISE PENSIONS FUND (PSPF). ' Karibu katika hii Globu ya jamii. Una karibishwa kutoa maoni yako yoyote yatakayo jenga taifa letu. Nawasihi kila mmoja wetu ajiheshimu kwa kutumia lugha zisizochafua hali ya hewa. Yaliyomo humu hayahusiani kwa vyovyote vile na hariri za magazeti ya Daily News, HabariLeo na Sunday News. Maoni yanayotolewa na wasomaji si ya GLOBU YA JAMII, ni ya mtoa maoni isipokuwa pale itavyoelezwa vinginevyo. Akhsanteni sana na tuendeleze Libeneke.

Gadget

This content isn't available over encrypted connections yet.

MAMAA WA MITINDO ASYA IDAROUS KHAMSIN KUPAMBA JUKWAA LA "PLUS SIZE FASHION SHOW" ZANZIBAR

Mama wa mitindo maarufu kama Asya Idarous Khamsin ataonesha mitindo yake kama mgeni mwalikwa kwenye "Plus Size Fashion Show" inayo tegemea kufanyika huko Zanzibar Jumamosi ya Tarehe 8 August 2016 katika Hotel ya Grand Palace.

Asya amejipatia Shavu hili,kupitia kampuni ya mitindo ya Zanzibar inayo tambulika kama "Style House" chini ya C.E.O Mama Titi ambaye anaishi uingereza.

Ingawa Asya anaishi Marekani lakini kwa sasa yupo  hapaTanzania kwa 
ajili ya onesho hilo lenye dhumuni kubwa la kuchangia "Breast Cancer Zanzibar" Mbali na Mama wa mitindindo, designers wengine pia watashiriki kikamilifu kwenye ufanisi Onesho hilo.

Special Apperance atakuwa ni mwigizaji Wastara Sajuki, Burudani itatolewa na Khadja Kopa. (Nyote mnakaribishwa).