Baadhi ya Wasanii wa kundi la  Dar Creators wakionesha umahiri wa kupiga ngoma za asili kwenye tamasha la muziki wa asili Marahaba  Swahili Music Festival
Hivi ndivyo hali ilivyokuwa kwenye tamasha la muziki wa asili lililopewa jina ’Marahaba Swahili Music Festival’ lililofanyika hivi karibuni katika viwanja vya Biafra na kuhudhuriwa na mamia ya wakazi wa Jiji la Dar waliopata burudani mbalimbali za muziki wa ngoma za asili na nyimbo mbalimbali zilizoimbwa (Live).

Mmoja wa Waratibu wa tamasha hilo,Karola Kinasha alieleza lengo lake ni kukuza vipaji vya wasanii chipukizi wanaoimba na kupiga vyombo mbalimbali vya muziki wa asili,na piia kuutangaza muziki wetu wa asili.

Mwenye kanga ni mwanamuziki kutoka visiwa vya Mayotte aliyepanda jukwaani akisindikizwa na wanafunzi wa muziki wa kituo cha Music mayday

Mwanamuziki kutoka katika viziwa vya Mayotte akipiga gitaa akishirikiana na wanamuziki kutoka chuo cha muziki cha Music May Day.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...