Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais,
Menejimeti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora Mhe. Angellah J. Kairuki
(Mb) akikagua viambatanisho vya malalamiko yaliyowasilishwa na mmoja wa
watumishi wa Halimashauri ya Wilaya Misungwi wakati wa ziara ya kikazi
ya waziri huyo aliyoifanya katika Halimashauri hiyo ili kukagua na
kufanya tathmini ya zoezi la usajili wa watumishi wa umma kwa ajili ya
kupatiwa Vitambulisho vya Taifa mkoani Mwanza.
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais,
Menejimeti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora Mhe. Angellah J. Kairuki
(Mb) akipokea malalamiko ya mtumishi wa Halimashauri ya Wilaya Misungwi
wakati wa ziara ya kikazi ya waziri huyo aliyoifanya katika
Halimashauri hiyo ili kukagua na kufanya tathmini ya zoezi la usajili wa
watumishi wa umma kwa ajili ya kupatiwa Vitambulisho vya Taifa mkoani
Mwanza.
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais,
Menejimeti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora Mhe. Angellah J. Kairuki
(Mb) akishuhudia mtumishi wa Halmashauri ya Wilaya ya Ilemela
akisajiliwa kwa ajili ya kupata Kitambulisho cha Taifa wakati wa ziara
ya waziri huyo ya kukagua na kufanya tathmini ya zoezi hilo katika
Halimashauri hiyo.
Baadhi ya watumishi wa
Halmashauri ya Wilaya ya Nyamagana waliojitokeza kwa ajili ya kujisajili
ili kupata Vitambulisho vya Taifa wakimsikiliza Waziri wa Nchi, Ofisi
ya Rais, Menejimeti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora Mhe. Angellah J.
Kairuki (Mb) (hayupo pichani) wakati wa ziara ya kikazi ya waziri huyo
aliyoifanya katika Halmashauri hiyo ili kukagua na kufanya tathmini ya
zoezi hilo.
HABARI ZAIDI BOFYA HAPA
HABARI ZAIDI BOFYA HAPA
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...