Naibu Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB, Saugata Bandyopadhyay akisalimiana na wafanyakazi wa benki ya CRDB tawi la Mlimani City jijini Dar es Salaam jana ikiwa ni kuadhimisha wiki ya huduma kwa wateja.
 Naibu Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB, Saugata Bandyopadhyay akishuhudia Mteja wa Muda Mrefu wa Tawi la Mlimani City, Mary Nderumaki akikata keki katika wiki ya huduma kwa wateja iliyofanyika jijini Dar es Salaam jana.
 Naibu Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB, Saugata Bandyopadhyay  akimlisha keki Mteja wa mda mrefu, Mary Ndarumaki jijini Dar es Salaam 
 Wafanyakazi wa Benki ya CRDB tawi la Mlimani City  wakiwa katika picha ya pamoja  na  Naibu Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB, Saugata Bandyopadhyay jijini Dar es Salaam 

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...