Mpiganaji wa mchezo wa  Kick Boxing Emmanuel Shija Kajala maarufu kama "NINJA SHIJA"  (kushoto)  akiwa na mmoja wa wadau wa mchezo huo  Joe Anena katika uwanja wa kimataifa wa ndege wa Julius Nyerere jijini Dar es salaam leo tayari kwa safari yake ya kwenda nchini Kenya ambako anatarajiwa kuzipiga na Moses Golola wa Uganda kugombea ubingwa wa Bara la Afrika  wa 75 Kg. katika ukumbi wa uwanja wa Kasarani jijini Nairobi October 15, 2016.
Taarifa zaidi BOFYA HAPA

Emmanuel Shija Kajala maarufu kama "NINJA SHIJA" na mpinzani wake Golola Moses wa Uganda.




Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...