Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. Pongezi za dhati mpaka hapo ulipojaaliwa kufika pia pole kwa visa na mikasa yote uliyokumbana nayo huko nyuma naamini ilikuwa ni katika harakati za kupambana na hali halisi ya maisha, kwnai ni dhahiri kila binaadamu ana mapitio yake. Binafsi naburudishwa na 'interview' zako kila nnapobahatika kuziangalia au kuziskiliza, zinaburudisha kwa kweli mana unajisemea iliyo kweli yako, huna makuu wala kujikweza. Kadhalika napenda sana kwenye baadhi ya nyimbo zako vile unavyochanganya mawili matatu kwa ile lugha yetu ya asil (Kirangi)i, kwa kweli hujiskia kama niko nyumbani kabisaaaaa! Naziki kukutakia kila la kheri na barka tele katika kazi zako za kimuziki na maisha yako kwa jumla. In Sha Allah.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...