Mkuu wa wilaya ya Hai Mhe. Gelasius Byakanwa akizungumza mara baada ya kupokea msaada wa tofali 2300 kwa ajili ya ujenzi wa vyumba vitatu vya madarasa katika shule ya msingi Msamadi iliyopo wilayani Hai.
Mkurugenzi wa Mamlaka ya Maji safi na Usafi wa Mazingira mjini Moshi Bi. Joyce Msiru akimueleza jambo Mkuu wa wilaya ya Hai Mhe. Gelasius Byakanwa wakati wa kukabidhi madawati kwa ajili ya shule ya msingi Msamadi.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...