Kijana aliyepotea anaitwa Gerald Martin Simtenda.amezaliwa 20/10/2000. Anasoma Lomwe Secondary  School Usangi
Mwanga.

Tarehe 5/7/2016 alipanda Basi la  NGORIKA kwenda Mwanga.  Tarehe  19/9/2016 tulipiga simu shuleni tukaambiwa hakufika shule tangu shule ilivyofunguliwa.
Aidha siku aliyokwenda shule alipitishwa na alishukia Arusha ambako alilala kwa rafiki yetu ambaye alimpeleka Moshi asubuhi yake ili apande gari asubuhi  yake.
Toka wakati huo hajaonekana tena.
Kama ukimuona tafadhali wasiliana na:

Martin Simtenda baba 0658268025,

Mch. Furaha Simtenda(Mrs) mama 0784636126
Taarifa ziko polisi Mwanga ni 
/RB/1839/2016 na Tanga ni /RB/6201/2016

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...