Naibu Waziri Ofisiya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira Mhe. Luhaga Mpina kulia akifafanua jambo kuhusu utunzaji wa mazingira alipokuwa akiongea na uongozi wa Mkoa wa Tabora (hawapo pichani) leo katikati ni Mkuu wa Mkoa wa Tabora Mhe Aggrey Mwamri na kushoto ni Katibu tawala wa Mkoa Dk. Thea M. Mtara.
Katibu Tawala wa Mkoa wa Tabora Dk. Thea Mtara akisoma Repoti ya Mazingira ya Mkoa kwa Naibu Waziri Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira Mhe Luhaga Mpina mapema leo kabla ya kuanza ziara ya ukaguzi wa mazingira Mkoani Tabora.
Washiriki wa mkutano wa viongozi wa Mkoa wa Tabora na waandishi wa habari wakati Naibu Waziri Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano namazingira Mhe. Luhaga Mpina akipokea maelezo kuhusu ripoti ya mazingira ya Mkoa wa Tabora.(Habari na Picha na Evelyn Mkokoi.)

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...