Mwenyekiti wa Mkutano wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC)  na Tume ya Uchaguzi ya Zanzibar (ZEC) ambaye ni Mkurugenzi wa Uchaguzi wa NEC Bw. Kailima Ramadhani akifafanua jambo kwenye mkutano huo wa siku mbili unaofanyika mjini Unguja visiwani Zanzibar.
 Baadhi ya Maafisa wa  Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC)  na Tume ya Uchaguzi ya Zanzibar (ZEC) wakifuatilia uwasilishaji wa masuala mbalimbali ya ushirikiano kati ya tume hizo kwenye mkutano unaofanyika mjini Unguja visiwani Zanzibar.
   Mwenyekiti wa Mkutano wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC)  na Tume ya Uchaguzi ya Zanzibar (ZEC) ambaye ni Mkurugenzi wa Uchaguzi wa NEC Bw. Kailima Ramadhani na Mwenyekiti mwenza wa mkutano huo Mkurugenzi wa Uchaguzi NEC Salum Kassim Ali, wakiongoza mkutano huo wa siku mbili unaofanyika mjini Unguja visiwani Zanzibar.
 Picha na Hussein Makame, NEC-Zanzibar.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...