Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli, Makamu wa Rais Mhe Samia Suluhu Hassan, Waziri Mkuu Mhe Kassim Majaliwa, Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Eng. John Kijazi, Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki,Kanda na Kimataifa, Balozi  Dkt. Augustine Mahiga na Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Utumishi na Utawala Bora Mhe. Angela Kairuki, Naibu Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii Dkt Hamisi Kigwangwalla katika picha ya kumbukumbu   na Mabalozi wanaoiwakilisha Tanzania nje ya nchi alipokutana nao Ikulu jijini Dar es salaam leo Oktoba 7, 2016.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akiongea na Mabalozi wanaoiwakilisha Tanzania nje ya nchi alipokutana nao Ikulu jijini Dar es salaam leo Oktoba 7, 2016.
Balozi wa Tanzania nchini Canada Mhe Jack Mugendi Zoka akichangia mada wakati wa mkutano wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akiongea na Mabalozi wanaoiwakilisha Tanzania nje ya nchi alipokutana nao Ikulu jijini Dar es salaam leo Oktoba 7, 2016.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akisalimiana na Balozi wa Tanzania nchini Canada Mhe Jack Mugendi Zoka baada ya kuongea na Mabalozi wanaoiwakilisha Tanzania nje ya nchi alipokutana nao Ikulu jijini Dar es salaam leo Oktoba 7, 2016 

KWA PICHA ZAIDI BOFYAHAPA



Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. MKUU WA NCHI, NATAKA KUTOWA USHAHURI, KWA MAWAZO NI VIZURI MABALOZI WAKUU WANAO WAKILISHA NCHI ZETU WAWE WANATOKA TANZANIA KAMA JINSI ILIVYO, LAKINI ILI KUPUNGUZA MATUMIZI NI VIZURI WAFANYAKAZI WENGINE WOTE WANAO FANYA KAZI HAPO UBALOZINI, NAFASI HIZO ZICHUKULIWE NA WATANZANIA WANAO KAA KATIKA NCHI HIZO USIKA, KWANI MTAKUWA MMEOKOA PESA NYINGI SANA, HUYU MTANZANIA KAMA YUKO INDIA MFANO, HAPO NI KWAKE ANISHI HAPO HATA KAMA MTAMFUKUZA KAZI HAMTAKUWA NA GARAMA ZA KUMRUDISHA NYUMBANI, HAYO NI MAWAZO TU.
    DR, JAMESSY

    ReplyDelete
    Replies
    1. (1) Sio tu nafasi zichukuliwe na Watanzania wanaokaa nje; Zitolewe kwa Watanzania wenye uchungu na Taifa lao eidha wawe nje au ndani na wenye vigezo.
      (2) Watanzania watakao itetea Foreign Policy yetu na interests zote za Tanzania 110%
      (3) Watanzania wenye kujua Diplomacy & Foreign relations au wawe na experience tofauti kulingana na mahitaji ya Tanzania ktk nchi hiyo.
      (4) Ukisema wapewe wanao kaa nje ni kana kwamba unavutia mkate kwenu while we need people who can defend our national interests 110% and not doing politics.
      (5) In short, tunahitajia experienced Patriotic people to cover positions which will bring us Profits (development, etc) and drives our Foreign Policy abroad.

      Delete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...