Shauri la kesi ya jinai inayomkabili mtuhumiwa Salum Njwete almaarufu kwa jina la Scorpion,limeondolewa katika mahakama ya wilaya ya Ilala na kuhamishiwa katika Mahakama kuu jijini Dar es Salaam, kutokana na ombi lililowasilishwa katika mahakama hiyo na wakili upande wa Mashtaka Munde Kalombora, na Hakimu Mkazi wa mahakama hiyo Mhe. Adelf Sachore na kuridhia.
TAARIFA ZAIDI TUTAWALETEA.


Mtuhumiwa Salum Henjewele almaarufu kwa jina la Scopion (mwenye kanzu) akitoka katika viunga vya mahakamani Ilala leo. 

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. Mola wape imani vizazi vyetu.Mola
    atajaalie achukuliwe hatua ila kwa kumwangalia tu kisaikolojia hayupo sawa.
    Haoneshi kujuta uso unatabasamu.Ungekuwa ni huku Ulaya anapelekwa ktk sehemu naalumi asaidiwe kichwani kwanza.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...