Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 5 mpaka sasa

  1. The mdudu, hii imekaa vyema tupo pamoja kipenzi cha watanzania tunao amini win win situation tumbua tumbua baba twende hapa #Job2

    ReplyDelete
  2. Vita bado ni kubwa dhidi yako,unaongoza watu walio na maneno mengi kwa midomo badala ya vitendo. Watu wasio na shukran hata walambwe visigino na maeneo mengine hawaoni. NENDA BABA ILA BINADAMU HANA SHUKRAN, MUNGU AKUFIKISHE SALAMA.

    ReplyDelete
  3. Safi Baba kaza buti tuko nyumba yako. Udumu!

    ReplyDelete
  4. In Sha Allah. Hata kwa Mwenyeez Mungu Miadi/Ahadi zote ni zenye kuja kuulizwa ni vipi au jinsi gani tulivyoweza kuzitimiza. Tunazidi kukuombea kwa Mwenyeez Mungu azidi kukufanyia wepesi juu ya hilo na kukuongoza katika kheri zake zote, ili uweze kuzikamilisha na kuzitimiza ahadi zako zote ulizotuahidi Watanzania na mengineyo mema uliyokusudia na kuyadhamiria kututendea watanzania. Mungu akubariki, akulinde na kukunusuru shari na mabaya yote - AMEN. Mungu Ibariki Tanzania na watu wake, Ibariki Afrika na Dunia kwa jumla.

    ReplyDelete
  5. MKUU, WA NCHI, SI VIGUMU KUJITOLEA KWA KUMSAIDIA RAFIKI YAKO, LAKINI NI VIGUMU KUPATA RAFIKI AJITOLEE KWA AJIRI YAKO,BABA MKUU KITU KINACHO KUSAIDIA SANA NI UNATABASAMU NA WATU MASIKINI, KWANI KUNAKUONGEZEA MALIPO MEMA KWA MWENYEEZI MUNGU.

    DR JAMEESY

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...