Mmoja wa wateja wa NMB Tawi la Buzuruga, Consolata Shoto akikata keki kwenye hafla ya uzinduzi wa wiki ya huduma kwa wateja. Afisa Mkuu wa Fedha wa NMB, Waziri Barnaba (wa pili kushoto) akimlisha keki mmoja wa wateja wa benki hiyo, Rachel Lububu kwenye tawi la NMB Buzuruga jijini Mwanza kwenye hafla ya uzinduzi wa Wiki ya Huduma kwa Wateja.  Mkuu wa Wilaya ya Ilemela, Dk. Leonard Masale (wa pili kulia) akilishwa keki na Meneja wa Tawi la NMB Buzuruga, Justina Kikuli wakati wa uzinduzi wa wiki ya huduma kwa wateja Mwanza.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...